Unaweza ukafikiria huyu ni mlemavu Lah. siyo mlemavu ila kijana huyu aliyetambulika kwa jina la Hashimu
Ibrahimu aliamua kutoa burudani kwenye sherehe za Mei Mosi ili
kujipatia kipato.kama usemi unaosemwa mgeni njoo mwenyeji apone.Picha Na Full Shangwe Blog
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)