Taarifa iliyoifika Kutoka Kwa Ripota wa Lukaza Blog ambae yupo Maeneno Ya Gairo anatuarifu kuwa kuna ajali imetokea maeneo hayo huku lori likiwa limepinduka na kusababisha foleni kubwa kwa watumiaji wa barabara ya Dodoma - Morogoro kukaa kwenye foleni kwa takribani lisaa Limoja Mpaka naingia Mtamboni Haijajulikana kama Kuna Majeruhi wala Waliopoteza Maisha.Kwa taarifa zaidi tutazidi kujuzana kadri ripota wetu atakavyozidi kutuarifu.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)