Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe Awasilisha Hati za Utambulisho nchini Ireland, Akutana na Watanzania na Aongea na Nao - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe Awasilisha Hati za Utambulisho nchini Ireland, Akutana na Watanzania na Aongea na Nao

   Mh. Balozi Peter Kallaghe akiwasilisha barua ya utambulisho kwa Rais wa Ireland Michael Higgins
   Mh. Balozi Peter Kallaghe katika picha ya pamoja  na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho
   Mh. Balozi Peter Kallaghe na mke wake Mama Balozi Joyce Kallaghe katika picha ya pamoja  na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho
  Afisa ubalozi Amos Msanjila na Mh. Balozi Peter Kallaghe katika picha ya pamoja na Rais wa Ireland Michael Higgins mara baada ya kuwasilisha barua ya utambulisho.
  Mh. Balozi Peter Kallaghe akikabidhiwa zawadi na watanzania waishio Dublin.
   Mh. Peter Kallaghe, mama Balozi Joyce Kallaghe, Afisa ubalozi Amos Msanjila wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio Dublin.
Baadhi ya watanzania waishio Dublin wakichagua chakula kutoka kwenye menu huku maongezi yakiendelea.Picha na Habari na Zimeletwa hapa na Mdau Jestina George(Uingereza)na Evarist Chahali(ireland)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages