Atunukiwa Cheti na Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA)baada ya Kumaliza Mafunzo ya Siku Tano ya Utayarishaji wa Vifaa Vya Kufundishia Kiswahili Kwa Wageni - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Atunukiwa Cheti na Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA)baada ya Kumaliza Mafunzo ya Siku Tano ya Utayarishaji wa Vifaa Vya Kufundishia Kiswahili Kwa Wageni

MKURUGENZI wa Taasisi ya Kiswahili na lugha za Kigeni Zanzibar (TAKILUKI), Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia) akimkabidhi cheti, Hawaa Rajab mkufunzi wa somo la kijerumani chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) baada ya kumaliza mafunzo ya siku tano ya utayarishaji wa vifaa vya kufundishia Kiswahili kwa wageni yaliyofanyika chuoni hapo Vuga mjini Zanzibar.Picha na Haroub Hussein

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages