Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Wiliamu Ngeleja,Akisoma hotuba, Leo
katika uzinduzi wa bodi ya ushauri ya madini,uliofanyika katika hotel ya
HYATT REGECY jijini Dar es salaam, bodi hiyo itakuwa ikitoa ushauri
katika maswala mbalimbali yanayohusu usimamizi wa sekta ya madini,
Ikiwemo serikali kuingia mikataba na kampuni ya Special Mining
Licence(SML) na Retention Licence, Uhuishaji wa leseni za (SMl)
Waziri wa nishati na madini Mhe Wiliamu Ngeleja,Kulia akibadilishana
mawazo na mwenyekiti mpya wa bodi ya ushauri wa madini Bwana Richard
Kasesela, Katikati Naibu waziri wa wizara hiyo Mhe, Adam Malima.
waziri wa nishati na madini Mhe; Wiliamu Ngeleja,Akiwa katika picha ya pamoja Na kamati mpya ya ushauri wa madini.(Picha na Philimeni Solomoni wa Fullshangwe)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)