Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bahi Misheni wilayani Bahi mkoani Dodoma, wakiwekewa chakula ambacho hutolewa shuleni hapo
wakati wa mchana, kama walivyokutwa mwishoni mwa wiki. Mpango wa chakula shuleni umesaidia kupunguza utoro. (Picha na
Sifa Lubasi).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)