Wafuasi
wa Chadema wakiwa taabani kiasi cha wengine kulia kama mama huyu,
baada ya kusikia hukumu hiyo dhidi ya Lema. Wafuasi hao wa Chadema
walikuwa ndani ya viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha wakati hukumu
ikitolewa na kumuona Lema ana hatia na hivyo kuvuliwa ubunge na Jaji
Wapiga kura watatu waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge dhidi
ya Lema wakiwa mahakamani kabla ya hukumu ya kesi hiyo kuanza kusomwa
na jaji Gabriel Rwakibarila katika mahakama kuu kanda ya Arusha,
Kushoto ni Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel .Picha zote na
Shaaban Mdoe wa Gazeti la Uhuru
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)