UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA BALIMI MKOANI KAGERA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA BALIMI MKOANI KAGERA.

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa, akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia Balimi Extra Lager uliofanyika katika Hotel ya Coffee Tree Bukoba mjini.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu, Fabian Masawe (kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia Balimi Extra Lager uliofanyika katika Hotel ya Coffee Tree Bukoba Mjini mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa.Wasanii wa Bendi ya Kakau wakicheza wakati wa hafla ya uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia Balimi Extra Lager uliofanyika katika Hotel ya Coffee Tree Bukoba Mjini
Wafanyakazi wa Kampuni ya Intergrated Communications wakicheza wakati wa hafla ya uzinduzi wa muonekano mpya wa Bia Balimi Extra Lager uliofanyika katika Hotel ya Coffee Tree Bukoba Mjini

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages