Uzinduzi wa Filamu ya 69 Recods Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Uzinduzi wa Filamu ya 69 Recods Jijini Dar es Salaam

Washiriki wa tamthilia ya 69 Records wakiendelea kujitambulisha.
Usiku wa kuamkia leo Aprili 6, 2012 palifanyika uzinduzi wa filamu kali iliyochezwa kwa umahiri mkubwa. Uzinduzi huo ulifanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao. Pichani ni Msanii Queen Doreen ambaye ni miongoni walioigiza kwenye tamthilia ya 69 Recods,wakijitambuliza,nyuma yake ni wasanii waliogiza kwenye tamthilia hiyo
Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya H-Baba akitumbuiza kwenye hafla hiyo
Ilikuwa ni kushangweka tu ukumbini mara baada ya uzinduzi wa tamthilia hiyo iliyorekodiwa kwa ubora wa Kimataifa.Picha na Mdau Ahmed Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages