Naibu
mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya Hamisi Mdee kulia
akiongea na ujumbe wa maafisa waandamizi wa mfuko wa NPS wa Kameruni
waliotembelea ofisi za mfuko wa NHIF kujifunza namna ya kuanzisha Mfuko
wa bima ya afya. Kushoto ni bw Mengang solomoni na kati ni bibi Nadege
Tonzue.Ujumbe huo upo nchini kwa juma jima ili kujifunza na kuongea na
wadau mbalimbali wa huduma za bima ya afya.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)