Mgeni
Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini linalofanyika leo
kwenue Ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza,Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu (katikati)
akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo pamoja na wadau wengine wa Kongamano hilo wakati akiwasili.
Mwenyekiti
wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda akitoa
maelezo mafupi ya Kongamano hilo kwa Mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu wakati wa ufunguzi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
Mkuu
wa Mkoa Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo akitoa hotuba yake wakati wa
ufunguzi wa Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini Tanzania (2th
National Secretarial Confrerence) linaloendelea hivi sasa kwenye ukumbi
wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda (kulia) akimpokea Mgeni
Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini linalofanyika leo
kwenue Ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza,Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu
akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Makatibu
Muhtasi nchini Tanzania (2th National Secretarial Confrerence)
linaloendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika
Beach Resort,Jijini Mwanza.
Muwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma,Mama Wanderage akitoa
salamu za Mkuu huyo wa Chuo kwa Makatibu Muhtasi waliopo kwenye
Kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda akimpatia Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu
Tuzo ya heshima kwa uwepo wake kwenye Kongamano hilo leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akiionyesha tuzo ya heshima aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda
Dk. Mary Nagu akisalimiana na Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo.
Ephraim Kibonde ambaye ndie Mc wa Kongamano hili akifungua rasmi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)