Meneja wa Bia ya Safari
Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamilika kwa mafunzo ya
wajasiliamali wa “Wezeshwa na Safari Lager”
Dar es Salaam jana.Kulia ni Mkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali kutoka
kwenye taasisi ya TAPBDS, Joseph Migunda.
Meneja wa Bia ya Safari
Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari namna ya
kuipata fomu ya kuomba ruzuku ya “Wezeshwa na Safari Lager” kwa awamu ya pili
wakati wa kutangaza kukamilika kwa mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza Dar es
Salaam jana. Kulia ni Mkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali kutoka kwenye taasisi
ya TAPBDS, Joseph Migunda.
Meneja wa Bia ya Safari
Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari namna ya
kuipata fomu ya“Wezeshwa na Safari Lager” kwenye mtandao wakati wa kutangaza
kukamilika kwa mafunzo hayo kwa awamu ya kwanza Dar es Salaam jana.Kulia ni
sMkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali kutoka kwenye taasisi ya TAPBDS, Joseph
Migunda akisisitiza watu wajitokeze kwa wingi katika awamu ya pili.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)