Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa chama cha
wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao
katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo April
19, 2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa chama cha
wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao
katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, katika
siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Brazil April 19, 2012. Wa pili
kulia ni Makamu wa Rais wa chama hicho Bw Joao Guilherme Sabino Ometto
na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na kulia ni Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman.(PICHA ZOTE NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)