Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipanda mti kwenye chanzo cha maji katika
kijiji cha Ilongero, Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya
upandaji miti. Aliyesimama kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Vincent
Perseko Ole Kone.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua kisima kirefu cha maji baada ya
kuongoza upandaji miti katika kijiji cha Ilongero , Singida Aprili 1,
2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji iti Kushoto ni mkuu wa mkoa
huo, Vincent PersekoOle- Kone.
Wanafunzi wakipanda miti katika chanzo cha maji cha kijiji cha
Ilongero, Singida ambako waziri Mkuu Mizengo Pinda aliongoza shughuli
hiyo Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti
(Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)