Ndg. Omary Mjenga akipiga picha ya kumbukumbu wakati
alipokwenda kumtembelea na kumuaga Rais Jakaya Kikwete jana
Ikulu.
Hapa ndugu Mjenga akipiga picha na Naibu Waziri wa Jinsia,
Watoto na maendeleo ya jamii, wakati alipokwenda
kumtembelea.
Baada ya kutoka kuonana na Viongozi hao alishiriki Dinner
Party na Wanafunzi wenzake aliosoma nao Shule ya Sekondari Songea Boys ndani ya
viunga vya Rose Garden akiwemo na Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mh. Philipo
Mulugo.
Picha zaidi mtazipata baadae za tukio hili la kihistoria,
ambalo kwa mara ya kwanza lilifanyika katika Pub ya KAPINGAZ Pub wakati huo
tukimpongeza Naibu Waziri Mh. Mulugo kwa kuteuliwa.
Wana BOX 2 (Wana Luhila) walimpendekeza Ndg. Henry O.
Kapinga kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo mpaka pale tutakapo itisha uchaguzi
Rasmi.
Omary Mjenga anaondoka leo kurudi Siera Leone tayari kwa
kuendelea na kazi zake za UNOPS.Picha na Mdau Henry Henry
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)