|
Naibu
Waziri wa Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga akifungua
mkutano wa mwaka wa 32 wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano KUsini mwa
Afrika unaofanyika kwa siku mbiliunaojadili mambo mbalimbali katika
mawasiliano ya simu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kidigitali, mkutano
huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 14 za (SADC) Zimbabwe, Namibia,
Botswana, Malawi Msumbiji, Afrika Kusini Rethoto na Tanzania |
|
|
Naibu Waziri wa Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga akihojiwa na
waandishi wa habari mara baada ya kuzindua rasmi mkutano huo.
Naibu Waziri wa Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo.
Mkurugenzi mtendaji wa TTCL Said Amir Said akimkaribisha Naibu Waziri
wa |Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga ili kufungua mkutano huo.
wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.
wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.Picha Kwa Hisani Ya Full shangwe Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)