Baadhi ya Vyumba Vya Mihadhara Vya Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha, Shule ya Sayansi ya Jamii ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) inavyoonekana katika picha huku kukiwa na mandhari nzuri kabisa Inayovutia kutoka na hali ya hewa ya kimvuamvua inayoendelea kunyesha Mkoani Dodoma.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)