Mshindi wa promosheni mpya ya Zantel iitwayo Tick Tock Mzee Eliahidi Musa Mvamba (mwenye kofia)kutoka Moshi ambaye amejishindia simu aina ya Nokia kwa kuongeza muda wa maongezi wa Tsh 1000. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mshindi wa promosheni mpya ya Zantel iitwayo Tick Tock Mzee Eliahidi Musa Mvamba (mwenye kofia)kutoka Moshi ambaye amejishindia simu aina ya Nokia kwa kuongeza muda wa maongezi wa Tsh 1000.

https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/?ui=2&ik=3530edf2ab&view=att&th=136739a777b70d5b&attid=0.1&disp=inline&realattid=24974c4c83c2f191_0.1&safe=1&zw&sadnir=2&sadssc=1&saduie=AG9B_P-pMeAX8Bj6uum_JO85Z8o9&sadet=1333389401663&sads=uMg_M4CrbE8BnO8gp43PysNd5q8Mshindi wa promosheni mpya ya Zantel iitwayo Tick Tock Mzee Eliahidi Musa Mvamba (mwenye kofia)kutoka Moshi ambaye amejishindia simu aina ya Nokia kwa kuongeza muda wa maongezi wa Tsh 1000. Kila siku Zantel wanatoa simu 24, simu moja kila saa pamoja na milioni 1 kupitia promosheni yao mpya ya Tick Tock. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Masoko Deepak Gupta, Afisa Mkuu wa Fedha Ahmad Almutawa na Mkurugenzi wa Biashara Ahmed Seif.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages