Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini alipowasili kwenye Hoteli ya
White Sands jijini Dar es Salaam,kwa ajili ya kufungua Kongamano la
Dini la Waislam na Wakristo, lililoanza leo Aprili 18, 2012.
Baadhi
ya Viongozi wa Dini wakifuatilia kwa makini Hotuba ya Mgeni Rasmi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, alipofika kufungua rasmi Kongamano la Dini la Waislam na
Wakristo, lililoanza leo Aprili 18, 2012 kwenye Hoteli ya White Sands
jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Dini la Waislam
na Wakristo lililoanza leo Aprili 18, kwenye Hoteli ya White Sands
jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya Viongozi wa
Dini, baada ya kuzindua rasmi Kongamano la Dini la waislam na Wakristo,
katika Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Aprili 18, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Viongozi wa dini baada ya kuzindua rasmi
Kongamano la Dini la Waislam na Wakristo katika Hoteli ya White Sands,
jijini Dar es Salaam, leo Aprili 18, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)