Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya ACB ya jijini Arusha, Dkt. Jonas
Kipokola, wakifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi katika
Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua rasmi leo
Aprili 16, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya ACB ya jijini Arusha, Dkt. Jonas
Kipokola, wakifurahia baada ya kuzindua rasmi na kuweka Jiwe la Msingi
katika Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua
rasmi leo Aprili 16, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake ya ufunguzi wakati alipokuwa akizindua rasmi jengo
la Benki ya ACB jijini Arusha leo Aprili 16, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya ACB Tawi la Arusha,
Anna Kavishe, kuhusu utendaji wa kazi na ramani ya jengo jipya la benki
hiyo, baada ya kuizindua rasmi leo Aprili 16, 2012, jijini Arusha.
Wapili (kulia) ni Mke wa Makamu Mama Zakhia Bilal na Kulia kwa Makamu ni
Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Jonas Kipokola.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Benki ya ACB muda mfupi
baada ya kuweka
Jiwe la Msingi katika Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini
humo kuizindua rasmi leo Aprili 16, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi
ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)