JOSEPHAT LUKAZA NA MAJID MJENGWA WALIPOKUTANA JANA MKOANI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JOSEPHAT LUKAZA NA MAJID MJENGWA WALIPOKUTANA JANA MKOANI DODOMA

Jana niliweza kupata nafasi ya Kukutana na Mmoja kati ya wakongwe kwenye tasnia ya blog Tanzania Majid Mjengwa Katika Hotel ya 56 iliyopo mkoni Dodoma na kuweza kuzungumza mawili matatu kuhusiana na Maswala mazima yanayohusu tasnia ya Blog kwaujumla. Majid Mjengwa ni Mmoja kati ya Wakongwe katika Tasnia hii ambapo anamiliki Blog inayokwenda kwa jina la Mjengwablog.com Kwa Kumtembela BOFYA HAPA Majid anaishi Mkoani Iringa na Alikuja Dodoma Kwaajili ya Semina Kuhusu Maswala ya Habari na Ambapo Sasa Kasharejea Mkoani Kwake Iringa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages