Magari
yakiwa kwenye msururu mrefu kwenye Mtaa wa Azikiwe kulikosababishwa na
hofu ya kuwepo kwa mawimbi hatari ya baharini wakati mvua ikinyesha
jijini Dar es Salaam. Barabara nyingi za Jiji zilikuwa na misururu
mirefu hadi usiku.Picha na Robert Okanda
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)