BONGO CELEBRITIES WAKIWA MSIBANI NYUMBANI KWA MAREHEMU STEVEN KANUMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

BONGO CELEBRITIES WAKIWA MSIBANI NYUMBANI KWA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

MSIBAKANUMBA16
Irene Uwoya akisaini kitabu cha waombolezaji kwa simanzi.
MSIBAKANUMBA13
 Mh. January Makamba Mbunge wa jimbo la Bumbuli, akiwasili msibani kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.
MSIBAKANUMBA10
Diamond akifuta machozi
MSIBAKANUMBA21
Irenu Uwoya akiwa na simanzi kubwa.
MSIBAKANUMBA18-1
 Kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki (mbele) akiwa na Patcho Mwamba (nyuma kushoto mwenye miwali), wakiwasili msibani.
MSIBAKANUMBA2
Jack wa Chuzi akiwa na majonzi msibani hapo.
KANUMBA+N+SUGU
 Mh. Joseph Mbilinyi aka Sugu akisini kitabu cha maombolezo, pembeni kulia ni msanii Nyoshi Elsadat
MSIBAKANUMBA14
 Mh. January Makamba akisaini kitabu cha maombolezo
MSIBAKANUMBA8
Msanii Naseeb Abdul "Diamond" akisaini kitabu cha waombolezaji alipofika msibani, nyumbani kwa marehemu Steve Kanumba Vatican Sinza
MSIBAKANUMBA9
Msanii Bob Junior nae akitia saini katika kitabu cha waombolezaji.
MSIBAKANUMBA19
Wasanii MwanaFA na Ambwene Yesaya nao walifika kutoa poole zao.Picha zote na GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages