Maofisa
wa ABSA Capital ambayo ni sehemu ya Benki ya ABSA ya Ofrika Kusini
wakiwa katika mkutano wa masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja
na ABSA Capital jijini Dar es Salaam jana jioni. Katikati ni Ridle
Markus, Jeff Gable (kushoto), Pius Tibarazwa (wa pili kushoto) wa NBC
Tanzania na Michael Keenan (kulia) wa ABSA.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akizungumza na baadhi
ya wateja wa benki hiyo wa makampuni katika mkutano wa masuala ya
kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital ambayo ni sehemu ya
Benki ya ABSA ya Afrika Kusini jijini Dar
es Salaam jana jioni.
es Salaam jana jioni.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto)
akimsikiliza mmoja wa maofisa wa ABSA Capital ambayo ni sehemu ya benki
ya ABSA ya Afrika Kusini, Jeff Gable, katika mkutano wa masuala ya
kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital kwa wateja wa
makampuni wa NBC, jijini Dar es Salaam jana jioni. Wa pili kushoto ni
Mohamed Sayed wa ABSA Capital na Mkuu wa Idara ya Fedha na Masoko wa
NBC, Pius Tibarazwa.
Mkuu
wa Idara ya Fedha na Masoko wa Benki ya NBC Tanzania, Pius Tibarazwa
(kushoto) akizungumza na mmoja wa maofisa wa ABSA Capital ambayo ni
sehemu ya Benki ya ABSA ya Afrika Kusini, Jeff Gable katika mkutano wa
masuala ya kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital kwa
wateja wa makampuni wa NBC, jijini Dar es Salaam jana jioni.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akisalimiana na
baadhi ya wateja wa makampuni wa benki hiyo katika mkutano wa masuala ya
kiuchumi ulioandaliwa na NBC pamoja na ABSA Capital ambayo ni sehemu ya
Benki ya ABSA ya Afrika Kusini jijini Dar es Salaam jana jioni.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)