Baadhi ya
wachimbaji wadogo zaidi ya 1,000 waliovamia kijiji cha Kinyinya wilayani
Kibondo mkoani Kigoma wakiendelea na kazi ya uchimbaji na utafutaji
madini. Machimbo hayo mapya yaligunduliwa mwezi uliopita katika eneo
ambalo lilitengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari na soko
kijijini hapo. (Picha na Fadhili Abdallah).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)