Wasafiri wanaoelekea mikoa tofauti tofauti wakiwa ubungo mida bila kujua cha kufanya baada ya mabasi yote yanayoelekea mikoani kujaa na huku wengine wakipandisha bei kutoka na shida ya usafiri wa kuelekea mikoani hususani usafiri wa kuelekea Dodoma umekuwa wa Shida na huku walanguzi wa tiketi wakipandisha bei za tiketi
Abiria wakiwa hawajui cha kufanya hapa huku mvua ukianza kunyesha
......usafiri shida jamani haya ni maneno yaliyokuwa yakisemwa na baadhi ya abiria duuu
Wengine wakiwa hawana usemi huku wamkaa chini na hawajui la kufanya ama kurudi nyumba au kusubiria basi ambalo halijafika hata ubungo lakini washakata tiketi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)