Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile akibadilishana hati za makubaliano na
Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi katika
ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya
shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.
Naibu Katibu Mkuu
wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile na Balozi wa nchi za Umoja wa
Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi wakisaini hati za makubaliano katika
ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya
shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.(Picha na Anna Nkinda - Maelezo)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)