Meya
wa Manispaa ya Morogoro, Amiri Nondo akimkabidhi mfano wa hundi yenye
thamani ya sh. milioni 26.7, Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Uchimbaji
Visima vya Maji ya Jae-Hi-Tech Dry Cleaning, Maximillian Makota
zilizotolewa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa ajili ya uchimbaji wa
visima vya maji mkoani humo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria
wa TBL, Steve Kilindo. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini
Morogoro.
Mkurugenzi
wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo
(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 24.9
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro, Dk. Ntobi
Mwakibete za kusaidia kuchimba kisima cha maji. Hafla hiyo ilifanyika
mwishoni mwa wiki mjini Morogoro. 




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)