TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST YAFUNGUA DUKA LA HISANI MIKOCHENI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAASISI YA HASSAN MAAJAR TRUST YAFUNGUA DUKA LA HISANI MIKOCHENI

 Mjumbe wa Taasisi ya Hassan Maajar Trust Zuhura Sinare Murro akizungumza katika uzinduzi wa duka la hisani la taasisi ya Hassan Maajar Trust uliofanyika kwenye jengo la Arcade Mikocheni jijini Dar es salaam, ambapo duka hilo linauza vifaa mbalimbali zikiwemo ngua za kiume, nguo za kike, viatu N.K.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Hassan Maajar Trust Zena Maajar Tenga akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika asubuhi hii Mikocheni jijini Dar es salaam.
 Wageni mbalimbali wakipata kifungua kinywa katika hafla hiyo.
 Wageni waalikwa katika uzinduzi huo wakibadilishana mawazo.
 Watoto kutoka shule ya msingi ya Ushindi Mikocheni wakiimba wimbo wa taifa katika hafla hiyo.
 Mjumbe wa Taasisi ya Hassan Maajar Trust Zuhura Sinare Murro, katikati ni Mgoyela.
Mjumbe wa Taasisi ya Hassan Maajar Trust Zuhura Sinare Murro akionyesha ngua zilizopo katika duka hilo.
 Wageni waalikwa wakiangalia nguo katika duka hilo.
Mdau Fredrick  Njoka  akiangalia suti katika duka hilo.Picha Kwa hisani Ya Full Shangwe Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages