Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa Atua Arumeru,Kufunga Rasmi Kampeni Za CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa Atua Arumeru,Kufunga Rasmi Kampeni Za CCM

DSC05999
  Rais na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa(kushoto) akiwa kwenye chumba cha kufikia kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) baada ya kupokewa na Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama (kushoto) leo asubuhi.Wa pili kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.Picha na Bashir Nkromo-Arumeru

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages