Rais Kikwete na Meza kuu
Rais Jakaya kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu na nyuma yao ni
washindi Fili Karashani (Lifetime achievement Award) na Neville Meena
(Overall Winner) wakati wa hafla ya Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka
2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)