Rais Dk. Shein akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Dk. Shein akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Masidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.(06/03/2012)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Maidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,pamoja na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.(06/03/2012)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Maidizi Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa Masuala ya Sera na Miradi,Kitengo cha UN Women,Mr John Hendra,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.(06/03/2012) ambapo pia maafisa mbalimbali wa Serikali walihudhuria

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages