NDANI YA HAFLA FUPI YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA RAFIKI ZANGU KIPENZI WA CHUO YOMEY NA LIAS NDANI YA CLIMAX - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NDANI YA HAFLA FUPI YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA RAFIKI ZANGU KIPENZI WA CHUO YOMEY NA LIAS NDANI YA CLIMAX

Wadau wakicheza ukuti ukuti ndani ya swimming pool ndani ya Ukumbi wa Crymax Dodoma Mjini
Wadau wakiwa mbele ya Kamera ya Lukaza Blog ndani ya Crymax
Kijana John Eugene (Wa Kwanza Kulia) akiwa na Mtoto aliyezaliwa leo (katikati) katika sherehe fupi inayofanyika ndani ya Ukumbi wa Climax mida hii mwishoni kushoto ni Kijana Big
Kwaito kwa kwenda mbele hapa
Mdau Sarita (wa kwanza Kushoto) na Kijana Collins wakiwa katika picha ya kumbukumbu katika sherehe fupi ya kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Mdau Lais na Yomey inayofanyika ndani ya ukumbi wa climax mjini dodoma mida hii
Huwa sipendi kuwa nyuma kabisa nikiwa na ndugu yangu kabisa John Eugene (wa Kwanza Kulia) katika hafla fupi ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa wadau wangu,rafiki zangu damu wa Chuo Lias na Yomey inayofanyika katika ukumbi wa Climax mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages