
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge akiweka jiwe la msingu kuzindua rasmi ujenzi wa mradi wa maji uliozaminiwa na Kampuni
ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia mradi wake wa EABL Foundation leo
katika Hospitali ya Frelimo ya Manispaa ya Iringa ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya siku ya maji duniani itakayoadhimishwa tarehe 22 Machi
2012.Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa SBL, Teddy
Mapunda na Kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa, Teresia Mhongwe.
Zaidi ya watu wapatao 150,0000 wanaohudumiwa na hospitali hiyo
watanufaika.Picha Na Mroki T Mroki
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)