Mpigie kura Mtanzania mwenzetu ili aweze kushinda shindano la modeling
la kutafuta modal24 kwa ajili ya kufanya photo shoot ya bilboard New
York, Marekani.
Katika shindano hilo linajumuisha washiriki wapatao elfu moja (1,000) na katika watu hao yeye yupo katika nafasi ya tisa kati ya watu elfu moja.
Jinsi ya kumpigia kura ingia web; www.project.badoo.com, utakuta picha ya Joseph Adriani unachotakiwa kufanya ni kulike hizo picha au link (theproject.badoo.com/gallery)

Huyu ni mwanamitindo wa kwanza wa kiume ambaye anafanya kazi zake nje ya Tanzania naomba tumsaidie ili aweze kufika malengo yake. Joseph Adriani alishawahi kufanya muziki na alishashiriki katika shindano la Bongo Star Search 2008 na alifanikiwa kuingia katika 10 bora.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)