Tumeshuhudia
vyama vyetu vya ngumi vikitoa mabingwa wao wa Taifa wa weight tofauti
kimakosa, Bingwa wa Taifa hawezi kupatikana kwa points ktk round ya
kwanza mpaka ya nne, unless by KO, rakini baadhi ya Mabingwa
wanapatikana kwa points chini ya round nne za awali, huyo si bingwa
halali wa Taifa.Tale of the tape:Inabidi watu watangaziwe tale of the
tape ili watu wajue. Contents za Tale of the tape ni Age, Height, Arm
length, Weight. Tunaambiwa kuwa ni ubingwa wa Taifa bila kuambiwa ni
weight gani wanayopigania.Ring Record:Hakuna ring record za fight zote
zinzopigwa ktk miaka hii, vyama vyetu havina record za maboxer
wanaowapiganisha au wanafanya makusudi tu, na record za maboxer wanaweza
kuzipata ktk www.boxrec.com ila
wanapiganisha watu bila kutuambia sisi wadau record za boxers wote
wanaogombania mikanda, Ring record contain – Won, Loss, Draw, KO and NC
of each boxer to be announce before fight.Unified Rules:Hapa ndio kuna
hilo tatizo ambalo nimeliona kuwa Bingwa wa taifa anapatikana chini ya
round ya nne kwa points, kwa KO sawa hakuna ubishi anakuwa champion wetu
kialali ila kwa points chini ya round hizo huyo si bingwa wa Taifa,
hiyo fight inaamuliwa kama Technical draw. Sheria zinasema hivi:No 3
Knockdown RulesOnly Referee Can Stop the FightScore Cards At The End Of
Round No. 4Can Not Be Saved By Bell In Any Round Tukianza na hiyo ya
kwanza – No 3 knockdown rules, zamani boxer ukipigwa na kuanguka
ukaesabiwa ktk round moja mara tatu basi automatical fight imekwisha na
bigwa kutangazwa ila kwa sasa sheria hiyo is no longer applicable, mtu
unaweza kuhesabiwa hata mara kumi ktk round moja na fight
ikaendelea.Only referee can stop the fight- hii inajieleza ni referee
pekee mwenye right ya kusimamisha fight na kumpa ushindi anaestaili. Ili
linafuatwa hakuna shaka, boxer akizidiwa na kunaweza kuatalisha afya
yake tumeona referee’s wetu wakisimamisha fight na wakitoa ushindi.Scor
e
card at the end of round no. 4 – Hapa ndio kuna madudu tupu, round no,
1 mpaka round no. 4 hapa uwezi kutoa mshindi kwa points ikitokea boxers
wamegongana vichwa au any Incidental hiyo fight itaamuliwa Technical
draw kuanzia round no. 5 hapo likitokea la kutokea ndio score cards
zinapotumika. PST ntawatolea mfano mmoja, mwaka 2010 DDC Magomeni Kondoa
ulikuwa ubingwa wao wa Taifa Bantam weight kama sikosei au
superflyweight, boxers waligongana vichwa round ya 3, PST wakatumia
score card za round 2 kumtangaza bingwa wao wa Taifa, baada ya kutoa
Technical draw, huyo hakuwa bingwa wetu halali wa Taifa. Pili, mwaka
2007 Dimond Jubelee hall Hussein Pazi vs Deo Njiku, superfetherweight,
waligongana vichwa round ya 2,Hussein Pazi alipasuka vibaya sana juu ya
jicho, Referee Mlundwa akafuata sheria ya Only referee can stop the
fight akasimamisha fight, wakatumia score card kutangaza mshindi akawa
Deo Njiku badala ya kuwatoa Technical Draw, Ingawa baadae Deo Njuku
alinyang’anywa mkanda kwa kuwa alizidi weight. Can not be saved by bell
in any round – hapo zamani sheria mtu akizidiwa kengere ( bell 0 inaweza
kugongwa kumuokoa asiendelee kupata kipigo waende for a break, ila kwa
sheria za sasa kituhicho hakuna, PST tena wanafanya madudu, ntatoa
mifano 2 ktk fight zake tena za ubingwa wa dunia Venue ; Dimond Jubelee,
2011Promoter : BawazirSuction board : WCTLocal suction by : PSTTitle :
Intercontinental flyweight championshipBoxers : Juma Fundi vs Fadhili
MagiaJuma Fundi alipigwa punch kali akaenda chini, Referee Mlundwa
akaanza kuhesabu ilipofika 8, Juma fundi akawa bado fahamu azijarudi,
Mlundwa akaendelea kuhesabu mpaka 10 still Juma Fundi Fahamu zilikuwa
bado azijarudi, kukawa na delay karibu ya 1 minutes akiongea nae,
ilikuwa ni clean KO Juma Fundi kapigwa, ila delay za Mlundwa na Yule
Juma Fundi ni boxer wake Mlundwa Kengere ikagongwa Juma Fundi
akanusulika, na hiyo punch ilimc
hanganya
akashidwa kucontrol game, hata hivyo alipigwa kwa points.Same date,
Main Card, Mbwana Matumla vs Francis Miyeyusho, World Title Bantam
weight, Referee Antony Luta, Mbwana alipigwa punch kali akakaa akalewa
delay ya counting na kengere ikamuokoa Mbwana na kuanzia hapo Mbwana
akashidwa kulimiliki pambana japo kuwa alianza vizuri sana, na
alimkalisha Francis ila ile punch ndio ilimchanganya hakashidwa
kucontrol fight.NB: Mabingwa wetu wa Taifa wanapatikana ktk njia ambazo
ni kinyume na sheria, vyama vyetu vya ngumi vinatakiwa kujipanga na kuwa
train Referee’s wake, ikiwezekana waiombe serekali iwaitie mkufunzi wa
kimataifa aje kuwapa proper training na wawe issued na certificate
otherwise itakuwa tunapata mabingwa ambao awana vigezo. Na vyama vyetu
vya ngumi vi accept hizi challenge na wazifanyie kazi, Otherwise ipo
siku tutawashtaki mahakamani. Mdau Nawakilisha.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)