Godbless
Lema amekuwa kivutio kikubwa alipowasili hapa Usa river majira ya saa
saba na nusu mchana kutokea arusha.alikuwa na maandamano makubwa ya
magari,pikipiki,na waenda kwa miguu.Alipokaribia tu kufika vijana wa
hapa walimbeba juu wakati wote na kufunga barabara kwa muda mpaka
walipompeleka sehemu ambako wageni wanafikia.hapa tunasubiri maandamano
makubwa ya kupokea viongozi watakaozindua kampeni leo.itarushwa moja kwa
moja na star TV.Picha/Habari Kwa Hisani Ya Mjengwa Blog
-








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)