Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na ujumbe wa Kujitathmini Ki-Utawala Bora katika Afrika
‘African Peer Review Mechanism’ (APRM) wakati ujumbe huo ulipomtembelea
Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mjumbe wa Kujitathmini
Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM)
Tanzania, John Shibuda, baada kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo uliofika
Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia jambo na Kiongozi wa Jopo la Wataalam kutoka Afrika wa
Ujumbe wa Kujitathmini
Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM)
Akere Tabeng Muna (kulia) na Mwenyekiti wa Ujumbe huo kutoka Tanzania,
Hasa Mlawa (kushoto) baada kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo uliofika
Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipiga picha ya pamoja kwa kumbukumbu pamoja na Wajumbe wa Kujitathmini Ki-Utawala Bora katika Afrika ‘African Peer Review Mechanism’ (APRM) baada kumaliza mazungumzo na Ujumbe huo uliofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)