Makamu
wa Kweanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimsikiliza
Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Zanzibar Dk.Amina, akitowa maelezo ya
jengo la Makumbusho ya Taifa la Betil Aljaib Forodhani.
Msimamizi
wa Ujenzi Mansoor Rashid, akitowa maelezo ya maendeleo ya Ujenzi wa
Makumbusho ya Taifa Mnazi mmoja unaofanywa na Kampuni ya Lucky
Constration Ltd , wakati wa ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipotembelea jengo hilo na kuona
maendeleo yake jana.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar MaalimSeif Sharif Hamad, akiangalia vitu vya zamani vilivyohifadhiwa katika Makumbosho ya Taifa Mnazimmoja ,wakati wa ziara yake jana.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimsikiliza
mfanyakazi wa Makumbusho ya Taifa katika jengo la Mnazimmoja Mwalimu
Khamis,alipofika kujionea historia ya Zanzibar iliohifadhiwa katika
makumbosho hiyo.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akipata maelezo
ya Magofu ya Mtoni katika kitabu kinacoeleza historia ya magofu hayo
kutoka kwa Maneja wa Hoteli ya Mtoni Marine Tonino Garav, akiwa katika
ziara ya kutembelea majengo ya historia ya Zanzibar.
Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akimsikiliza Meneja wa
Kampuni ya Ujenzi ya Lucky Constration Ltd, Ali Said Seif, akitowa
maelezo ya ujenzi huo unaofanywa na kampuni yake.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea
Magofu ya Mtoni kuangalia uendelezaji wake kwa matumizi ya Historia ya Zanzibar kwa vizazi vijavyo na vivutio vya Utalii wa Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)