KUMBE ADHABU HII KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI BADO IPO. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUMBE ADHABU HII KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI BADO IPO.

Hawa ni wanafunzi wa shule ya sekondari ya Viwandani wakiwa wamepewa adhabu kwa makosa tofauti tofauti na Mwalimu wao wakati nikiwa nimetembelea shule hiyo mchana wa leo.Shule ya Viwandani ipo katika manispaa ya Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages