Kibaka ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi mzito wa wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustine Mwanza muda mfupi uliopita akiwa amechoka hoi kwa kipigo alichokipata kutoka kwa wanafunzi hao mara baada ya kumuibia mwanafunzi wa SAUT na kukamatika.Baada ya kumuibia Mwanafunzi wa Kike kutoka Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustine na kukimbia hakuweza kufika mbali na ndipo alipokamatika na kupokea kichapo kitakatifu.Picha na Edmund Vedastus Wa Lukaza Blog SAUT.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)