KATIBU
Mkuu ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Dk. Omar Dadi Shajak akionesha
ripoti ya utafiti wa hali ya utendaji wa Vyombo vya Utangazaji vya
Umma Zanzibar muda mfupi baada ya kuizindua ripoti hiyo katika ukumbi
wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani,kulia Meneja wa Baraza la
Habari Tanzania Ofisi ya Zanzibar, Suleiman Seif
KATIBU
Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, Dk. Omar Dadi Shajak
akizinduwa Ripoti ya Utafiti wa Hali ya Utendaji wa Vyombo vya
Utangazaji vya Umma Zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa
Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.Picha na Haroub Hussein
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)