Mkurugenzi
wa Alliance One Tanzania Ltd Bw. Mark Mason akizugumza katika mkutano
na wahariri wa vyombo mbali mbali vya habari jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo uliandaliwa kwa ajili ya kuwapa taarifa juu ya maendeleo ya
tumbaku na mambo mbali mbali wanayoyafanya katika kuisaidia jamii.
Kampuni hiyo inafanya shughuli za Tumbaku huko Kinglowila, Morogoro.
Meneja
Uhusiano wa Alliance One Tanzania Ltd, Bw. Hamis Liana akiwaeleza
wahariri juu ya miradi mbali mbali ya kijamii inayotolewa na kampuni yao
kupitia zao la tumbaku ambalo wanashughulikia huko mkoani Morogoro.
Mkutano huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wahariri
kutoka The African Bw. Shermax Ngahemera, Uhuru Bw. Damas na Bethuel
Kinyori wa Corporate Digest na Meneja Uhusiano wa Silverbullet PR Nadine
Kapya wakiwa katika mkutano na Alliance One Tanzania Ltd jijini
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)