Habari zilizonifikia hivi punde kuwa Mkurugenzi wa zamani wa TBC, Dunstan Tido Mhando ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Mwananchi Communications limited (MCL) na atatambulishwa rasmi Ijumaa. Tido Mhando anachukua nafasi ya Sam Sholei aliyemaliza muda wake mwaka jana.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)