Edward Lowasa Aongeza Nguvu Kwenye Kampeni za CCM Arumeru Mashariki - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Edward Lowasa Aongeza Nguvu Kwenye Kampeni za CCM Arumeru Mashariki

37
Mh.Edward  Lowasa akimnadi mgombea wa CCM katika jimbo la Arumeru Mashariki Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika viwanja vya Kikatiti jimboni humo.
32
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM Jimbo la Arumeru Mashariki leo kwenye viwanja vya Kikatiti,Wilayani Arumeru.
18
 Mh. Edward Lowasa akiwasili katika mkutano wa hadhara tayari kwa kuhutubia wakazi wa Arumeru leo.
48
 Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Arumeru kupitia CCM Sioi Sumari akihutubia wapiga kura wa Arumeru katika mkutano wa hadhara leo.
45
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya akitumbuiza katika mkutano huo
43
 Kutoka kushoto ni Mbunge wa Bumbuli January Makamba, Esther Bulaya mbunge wa viti maalum Singida na Mbunge wa Korogwe Steven Ngonyani Prof. Maji Marefu wakiwa katika mkutano huo.
9
 Msafara wa pikipiki ukielekea katika viwanja vya Kikatiti jimboni humo.
56
 Sioi Sumari akiwasili katika viwanja vya Kikatiti jimboni Arumeru tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages