DJ CLEO ALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DJ CLEO ALIVYOPAGAWISHA MASHABIKI DAR

DJ Cleo akikamua.
DJ Cleo akiendeleza majamboz.
Mambo ‘Full Mzuka’.
Ommy Dimpoz akikamua.
Chegge (kushoto) na Mheshimiwa Temba.
Dogo Aslay.
Mkali wa michano, Dogo Janja.
Kiongozi wa Kundi la Tip Top Connection ‘Rais wa Manzese’ Madee kushoto na Dogo Janja wakikamua.
Nyoka wa kizushi aliyetokea kusikojulikana na kuibukia kwa mashabiki akipewa kibano.
Mashabiki wakijiachia.
Mwanadada aliyevamia jukwaa baada ya kunogeshwa na majamboz ya DJ Cleo.
Dully Sykes (kulia).
Juma Nature (kushoto) na J4 wa Mabaga Fresh wakifanya makamuzi ya kufunga dimba.
 
MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Afrika Kusini anayetamba na kibao cha Fecebook, DJ Cleo, leo alfajiri aliwachizisha mashabiki wa burudani katika onyesho lililofanyika Viwanja vya Posta, Kijitonyama,  jijini Dar es Salaam. Katika onesho hilo DJ Cleo alisindikizwa na wakali wa muziki wa kizazi kipya wa hapa nchini. PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages