WAMILIKI WA MAGAZETI INAWAHUSU HII....MPO? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAMILIKI WA MAGAZETI INAWAHUSU HII....MPO?



 

Juzi Februari 26,2012 siku ya kwanza ya kuuzwa kwa gazeti la Sunday Sun la Uingereza limeweza kununuliwa nakala milioni 3 kwa siku- Hii imeelezwa na mmiliki wake Rupert Murdoch katika tweet yake jana usiku. 


Swali: Lini magazeti ya Tanzania yatafika huko? au yatabaki kulalamika tu kuwa Blogs zinauwa soko lao. Tafakari- changia mawazo hapa nini kifanyike tufike huko
.Picha na Habari Kwa Hisani ya Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages