WADAU WAKIWA NA FURAHA YA KUMALIZA MITIHANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WADAU WAKIWA NA FURAHA YA KUMALIZA MITIHANI

Madada Wa tatu wakiwa na furaha ya kumaliza mitihani yao ya muhula wa kwanza ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Muda mfupi uliopita jioni ya leo.Wanafunzi wengi wamemaliza mitihani yao ya kumaliza muhula wa kwanza na kujiandaa na muhula wa pili unaoanza tarehe 3 march 2012
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa wanatoka Kwenye vyumba vya mitihani tayari kwa kujiandaa na mitihani ya kesho huku wengine wakiwa wamemaliza mitihani ya muhula wa kwanza
Haya sasa huku wengine wakirudi kwaajili ya kujiandaa na mitihani hapo kesho huku wengine na mabegi tayari kuelekea nyumbani kwaajili ya likizo fupi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages