Taswira Za Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni Mjini Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Za Waziri Mkuu Mizengo Pinda Bungeni Mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Sumbawanga Mjini Khalfan Aeshi wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Februari 7,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Maswa(CHADEMA) Mh Magalle Shibuda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 7, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages