Wafanyabiashara
wadogo wadogo wajulikanao kama wamachinga wakiwa wamepanga bidhaa zao katika
kituo cha kidogo cha mabasi Ubungo kama unavyowaona mwenyewe, kwasasa biashara
katika eneo hilo imeshamili sana mpaka wahusika wamejisahau kabisa sijui
serikali inafanyaje kuhusu watu hawa???
Wafanyabiashara
wengine walikuwa wanafanya minada
kila kitu
kinapatikana hakuna haja ya kwenda sokoni ama kwenye maduka.
Hali ya Bara
bara ya Morogoro Road eneo la Ubungo mataa lipo katika hali ya hatari sana, hasa
kutokana na kasi ya wafanya biashara ndogo ndogo ,maarufu kama
wamachinga wanavyoongezeka kwa kasi katika eneo hilo, ni jambo la kushangaza
sana kuona hali hii inavyoachwa kana kwamba wahusika hawaioni (Serikali),
tunapenda kuwahasa kwa mara nyingine tena Serikali jaribuni kuliangalia hili,
wafanya biashara hawa wanafanya biashara katika mazingira ya hatari sana na
yasiyo rasmi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)